Seventh-Day Adventist Church

Kimara Sda Church Offical Website

Menu
SABATO YA WATOTO KIMARA SDA YAFANA Watoto ni hazina nzuri kwa kila familia na taifa kwa ujumla, hapa kanisa la Waadventista Wa Sabato Kimara wameliona hilo kwani wamewekeza katika huduma za watoto na hapa ni picha za tukio la Sabato ya watoto lililofanyika siku ya tarehe 26 March,2016.
KWAYA YA KANISA LA KIMARA MWAKA 1999 Tunamshukuru Bwana kwa uweza na nguvu zake sasa tunaendelea na huduma na akizidi kutumia vipawa alivyotupa tunamtumikia kwa njia ya uimbaji.
KANDA YA BARUTI WAFIKA KWENYE MJI WA MAMA SALILA Kanisa la Kimara Sda kupitia program za maombi ya asubuhi wameweza kufikia familia ya Mama Salila ya Kimara Korogwe na kufanya maombi na program zingine.
KIJANA JIHESHIMU MCHUMBA WAKO BWANA ATAKUPA Programu ya mgawanyiko wa makundi ya rika ndani ya kanisa ilikuwa njema kwani pamoja na mambo mengine, Mzee Paschal Mdukula alifundisha darasa la vijana ambao hawajaoa wala kuolewa nae alisisitiza juu ya vijana kuwa waaminifu kwenye masuala ya mahusiano.

MCHUNGAJI WA MTAA-MCHUNGAJI JAMES MACHAGE


MZEE KIONGOZI- MR.RONALD MANONGI

                                           Hakimiliki © 2015, KimaraSdaChurch. Haki zote zimehifadhiwa