Seventh-Day Adventist Church

Kimara Sda Church Offical Website

Menu

Wanawake

Add a Slideshow to see your custom images here
HUDUMA ZA WANAWAKE
Huduma za wanawake huendeleza, huhimiza na kuwapa changamoto wanawake katika kutembea kwao kila siku kama wanafunzi wa Yesu Kristo na washiriki kwa kanisa lake. 

Malengo yake ni kuhamasisha ukuaji wa kiroho na uamsho; kusisitiza kuwa wanawake wana thamani isiyopimika kwa sababu ya kuumbwa na kukombolewa kwao, kuwaandaa kwa ajili ya huduma na kueleza mitazamo ya wanawake katika masuala ya kanisa; kuhudumia upeo wote wa mahitaji ya wanawake kwa kuzingatia mitazamo ya utamaduni na makabila mbalimbali; kushirikiana na idara zingine kurahisisha huduma za wanawake na kwa wanawake; kujenga mapenzi mema miongoni mwa wanawake kwa wanawake, kuhimiza kusaidiana na kubadilishana mawazo kwa ubunifu; kuwashauri na kuwatia moyo wanawake na kutengeneza njia njia kwa ajili ya ushirika wao katika kanisa; na kutafuta njia na namna ya kumpa changamoto kila mwanamke kutumia karama zake kuendeleza utume ulimwenguni.
                                           Hakimiliki © 2015, KimaraSdaChurch. Haki zote zimehifadhiwa