Seventh-Day Adventist Church

Kimara Sda Church Offical Website

Menu

Children Of God

Add a Slideshow to see your custom images here
Kikundi kilianza mwezi wa tatu 2015 na kupitishwa kuanza kuhudumu mwezi huohuo, kikundi kilipata mwaliko katika kanisa la Kinondoni SDA kwenye Sabato ya wageni mnamo tarehe 4/4/2015.
Kikundi kilipata fursa ya kutembelea wagonjwa na kuomba nao pia kuwatia nguvu. Kikundi kilifanya huduma kwa jamii pale kilipotembelea watoto yatima katika kituo cha Donbosco cha hapa jijini Dar Es Salaam.
Wafuatao ni wana kikundi/waimbaji wa kikundi cha Children Of God
  1. Ester Ernest- Mwenyekiti
  2. Leonila Evarist- Katibu
  3. Thomas Phiri
  4. Daniel Youze
  5. Naamin Mbwambo
  6. Damakizina
  7. Paul Nywage
  8. Msafiri Malugu
  9. Sifael Justus- Mwalimu
  10. Elins Mashauri


Thomas Phiri aliyesimama mwenye maiki akisema jambo 
katika moja ya programu ziliandaliwa na kikundi cha Children Of God

Ester Ernest (kushoto)- Mwenyekiti wa Kikundi akishudumu kwa sehemu 
yake katika moja ya program.

Daniel Youze muimbaji sauti ya tatu kikundi cha Children of God

Tunajumuika kwa pamoja katika kumuimbia Mungu wetu
Kwa Mawasiliano
0653-094-223 Daniel Youze

                                           Hakimiliki © 2015, KimaraSdaChurch. Haki zote zimehifadhiwa