Seventh-Day Adventist Church

Kimara Sda Church Offical Website

Menu

Elimu

Add a Slideshow to see your custom images here

Taasisi za kanisa huendesha shule kuanzia chekechea hadi chuo kikuu kwa makusudi ya kuwapatia wanafunzi kanuni za maisha, Imani, mitazamo, maadili, tabia na desturi za kanisa. Chanzo, mbinu na makusudi ya elimu ya Kiadventista ni elimu halisi ya Mungu, ushirika na uhusiano na Mungu katika masomo na huduma, na kufanana naye katika kujenga tabia.

                                           Hakimiliki © 2015, KimaraSdaChurch. Haki zote zimehifadhiwa