Seventh-Day Adventist Church

Kimara Sda Church Offical Website

Menu

AFYA

Add a Slideshow to see your custom images here
Huduma za Afya
Kanisa linaamini kuwa wajibu wake ni kumfanya Kristo ajulikane ni pamoja na wajibu wa kimaadili wa kuhifadhi utu wa mtu kwa kuhimiza viwango vya juu vya afya ya kimwili, kiakili na kiroho.
Pamoja na kuwahudumia wanaougua, jukumu hili linakwenda mpaka kwenye uzuiaji wa magonjwa kwa kutumia elimu ya afya na uongozi katika kuhimiza afya murua bila kutumia tumbaku, vileo, dawa zingine za kulevya na vyakula najisi. Inapowezekana, washiriki watahimizwa kimsingi kutokula vyakula vya nyama.

MATUKIO KATIKA PICHA
Jumapili baada ya semina kuisha kukawa na bonanza kubwa lilofanyika katika viwanza vya Shule ya Msingi Mavurunza Kimara Dar Es Salaam,bonanza hili lilihusisha michezo kama vile,kukimbia mbio za mita 100,mbio za kupokezana vijiti na kukimbiza kuku.

                                           Hakimiliki © 2015, KimaraSdaChurch. Haki zote zimehifadhiwa