Joshua Jackson Kato
Katibu- Idara ya Mawasiliano 2016
Huduma ya Mawasiliano inahitaji msaada wa kila mlei, kila mfanyakazi wa kanisa na kila taasisi ya Kanisa. Idara ya Mawasiliano huhamasisha utumiaji wa program thabiti ya uhusiano na mbinu zote za kisasa za Mawasiliano, teknolojia endelevu na vyombo vya habari katika kueneza injili. “Njia zitabuniwa za kuifikia mioyo. Baadhi ya njia zitumikazo katika kazi hii zitakuwa tofauti na njia zilizokuwa zinatumika zamani.”-Ev 105
Idara hii iliasisiwa kwa ajili ya kuwezesha habari na ujumbe toka kwa wainjilisti na wanenaji ndani na nje ya kanisa kuwasilisha jumbe zao kwa hadhira.
Pia kama idara ni chanzo cha taarifa kupitia mitandao ya kijamii na website ya kanisa pia.
Idara ina wanakamati wa mawailiano
- Joshua Jackson Kato- MKITI
- Godson Mhezi- MJUMBE
- Sifael Lusiu- MJUMBE
- Godfrey Magati- MJUMBE
Godson Mhezi- Mwenyekiti wa ufundi na mitambo
Wanakamati wa mitambo
- Godson Mhezi - M/KITI
- Jackson Kato- MJUMBE
- Edgar Kabeta- MJUMBE
- Emmanuel - MJUMBE
Idara imekuwa na Malengo yafuatayo kwa mwaka 2015
- Kuwa na Sabato ya Mawasiliano itakayofanyika tarehe 26 Disemba mwaka 2015.
- Kufungua website na database ya kanisa na mitandao mingine ya kijamii kwa jina la Kimara sda Church.
- Kuwa na mpango endelevu wa kurusha mahubiri na vipindi vya kanisa moja kwa moja kwa njia ya internet.
- Kuwa na changizo la vifaa vya Mawasiliano siku ya changizo itakuwa ni Sabato ya Mawasiliano.