Seventh-Day Adventist Church

Kimara Sda Church Offical Website

Menu

Vijana

Add a Slideshow to see your custom images here
CHAMA CHA VIJANA WAKIADVENTISTA
Kanisa huhudumia vijana na kufanya nao kazi kwa kutumia Chama cha Vijana Wakiadventista. Inawapasa vijana kufanya kazi pamoja chini ya kiongozi wa chama cha vijana katika kujenga huduma imara ya vijana inayojumuisha ustawi wa kila mmoja kiroho, kiakili na kimwili, shughuli za kijamii za Kikristo na programu hai ya ushuhudiaji inayosaidia mipango mikuu ya kanisa ya uongoaji wa roho. Lengo la chama cha Vijana liwe kuwahusisha vijana wote katika shughuli zitazowaunganisha na kanisa na kuwafundisha kwa ajili ya huduma ya Kikristo.
"Tuna jeshi la vijana leo ambao wanaweza kufanya makubwa wakielekezwa vizuri na kutiwa moyo. Tunataka wabarikiwe na Mungu. Tunataka wafanye sehemu katika mipango iliyopangwa vizuri kwa ajili ya kuwasaidia vijana."- GCB, Jan29 30, 1893 uk 24.
UONGOZI

Yusuph Aziz- Mwenyekiti wa Vijana wakubwa AYS

Kwaya ya Vijana Kimara sda katika kambi la mtaa wa kimara 2015
                                           Hakimiliki © 2015, KimaraSdaChurch. Haki zote zimehifadhiwa