Seventh-Day Adventist Church

Kimara Sda Church Offical Website

Menu

Uwakili

Add a Slideshow to see your custom images here

RIPOTI OMBENI- Mkuu wa Idara 2016

Huduma za uwakili huhimiza washiriki kuitikia neema ya Mungu kwa kuweka wakfu kwake vyote walivyo navyo. Majukumu ya uwakili ni zaidi ya pesa. Ni pamoja na utunzaji na utumiaji bora wa mwili, akili, muda, uwezo, karama za roho, na uhusiano, ushawiahi, lugha ,mazingira na mali. Idara hii husaidia washiriki katika ushirika wao na Mungu katika kumaliza kazi yake kwa kutumia vizuri karama na raslimali zote za Mungu.

Roho wa Mungu anapotawala maisha ya mtu, "wale ambao mioyo yao imejaa upendo wa Kristo watafuata mfano wake ambaye alikuwa maskini kwa ajili yetu, ili kwa njia ya uamskini wake, tufanywe kuwa matajiri. Pesa, muda, ushawishi-karama zote walizopata kutoka mkononi mwa Mungu, watazithamini tu kama vyenzo za kuendeleza kazi ya injili"-AA71
                                           Hakimiliki © 2015, KimaraSdaChurch. Haki zote zimehifadhiwa