-
Sikukuu ya vibanda inayojulikana kama sherehe za makambi, ambazo hufanyika mara moja kwa mwaka, kwa mtaa wetu wa Kimara wenye makanisa mawili yaani King'ongo na Kimara yenyewe, makambi haya yamepat...
-
Moja katika ya mambo muhimu kwa kanisa kwa sasa ni uangalizi wa vijana wadogo ambao ndio hazina kubwa Mungu aliyotupa, kwa kulitambua hilo Kanisa la Waadventista Wa Sabato Kimara la jijini Dar Es S...
-
Tunamshukuru Mungu kwa uweza wake tumeweka kumaliza mkutano wa majuma matatu uliofanyika katika uwanja wa Njiapanda ya Matairini Kimara Suka jijini Dar na Bwana akijipatia roho 13 ambao pia walibat...
-
Vijana wadogo wa Kanisa la Kimara Sda wamefanya gwaride maalum siku ya ufunguzi katika viwanja vya njiapnda ya Matairini Kimara Suka jijini Dsm, kwa siku hiyo vijana waliwavalisha skafu Mchungaji w...
-
Mkutano wa injili huu umeanza mapema jumapili tarehe 15 Mei na utahimishwa siku ya Jumamosi ya tarehe 04 Juni na Muinjilisti Joshua Manyama ndiye muhubiri mkuu huku akileta mafundisho juu ya Bblia ...
-
Vijana watafuta njia wamehudumu programu maalum ya kukamkaribisha mgeni rasmi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Konferensi ya Mashariki Kati ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato katika programu za utume a...
-
Ilikuwa ni siku ya kupendeza kwani Mungu aliweza kutufikisha salama kwenye viwanja vya studio ya Morning Star Tv na tukiwa na viongozi wetu tuliweza kujiweka vyema ili kutoa huduma hii ya uimbaji a...
-
Aliyekuwa Mchungaji wa Mtaa wa Kimara, Mch. Rahis Mande ameagwa mapema jumamosi hii katika siku ya kuabudu ya Sabato na kumkabidhi Mchungaji mpya kwa mtaa huu ambaye ni Mch.James Machage ambaye hak...
-
Juma la uwakili lililoanza siku ya Sabato ya tarehe 20 February na litahitimishwa 28 February 2016 na mnenaji wa juma hili ni Mchungaji Stephen Letta ambaye ni mchungaji wa mtaa wa Mwenge.Mahubiri ...
-
Juma la huduma za familia lilioanza siku ya Jumamosi tarehe 13 February 2016 na litahitimishwa siku ya Sabato ya tarehe 20 February, Mhubiri akiwa ni Muinjilisti Daniel Nkinda toka Kanisa la Golani...
-
Kwaya ya vijana ni moja ya jeshi la Bwana lenye kumshambulia shetani na mara zote imekuwa ikihudumu katika matukio mbalimbali ya ndani na nje ya Kanisa. Kama kwaya imeweza kuhudumu shughuli za uimb...
-
Kikundi kilianza mwezi wa tatu 2015 na kupitishwa kuanza kuhudumu mwezi huohuo, kikundi kilipata mwaliko katika kanisa la Kinondoni SDA kwenye Sabato ya wageni mnamo tarehe 4/4/2015.Kikundi kilipat...
-
Ni kutimiza agizo la Mungu pale katika Bustani ya Edeni, leo hii katika kanisa la Waadventista Kimara Bw. Erasto Mlemwa na Bi. Leonila Evaristi na Mchungaji Rahis Mande na baadae chakula kitakuwa k...
-
Na idara ya Mawasiliano-Kimara
Katika moja ya njozi kubwa ya kanisa la Waadventista wasabato ni kupeleka ujumbe kwa kila mtu,lakini ujumbe unakuwa rahisi pale tuu unapoanzia kwenye familia zetu,hay...
-
Ni programu ya aina yake kwani itakuwa maalum kwa ajili ya kuimba kama kwaya pia kutakuwa na uimbaji wa kwaya zote zilizochini ya kanisa hili.Kuna shuhuda ambazo pia kama waimbaji na washiriki wan...
-
SOMO: NAMNA YA KUWA MWAMINIFU
MUHUBIRI: MWINJILISTI MOFFATI
Kuna mambo mengine inatupasa kuomba kwa bidii sana fungu Yeremia 29:11-13. Suala la maombi katika biblia lilikuwa ni la muhimu sana na m...
-
Ndoa ilifungwa siku ya ibada ya Sabato Septemba 26 2015 ndani ya Kanisa la Kimara SDA,iliendeshwa na Mchungaji wa mtaa wa Kimara Rahisi Mande na furaha kubwa ilitawala siku hiyo ambapo vijana wa Ki...
-
Waimbaji wa Children Of God wakisifu na kuabudu,moja kati ya watumishi wanaosali katika kanisa la Kimara SDA
-
Ibada hii imetanguliwa na somo la kujifunza lessoni kwa darasa la walimu na badae kukafatiwa na kipindi cha uimbaji ambapo kwaya za mtaa wa Kimara yani Kimara na King'ongo pamoja na kwaya alikwa to...
-
Siku hii ilikuwa ni tukio lililojumuisha furaha,nderemo na vifijo pia bashasha za aina yake kwa kuwekwa wakfu kanisa la kimara SDA na pia hii huonesha jinsi kazi ya Bwana inavyozidi kukuwa na kuene...
-
Wiki iliyoanza jana ilikuwa ni ya mbaraka kwa washiriki wa Kimara Sda kwa semina za afya zilianza siku ya jumapili huku mada mbambali zikiwasilishwa na madakitari,ya kwanza ikihusisha umuhimu wa ...